Private Agricultural Sector Support - PASS Trust

Agricultural Service

Asasi ya kusaidia sekta binafsi ya kilimo iliyoanzishwa mwaka 2000 ili kuchochea uwekezaji na kukuza kilimo cha biashara na sekta zinazohusika. Ilisajiliwa


PASS Trust ni nini?
Asasi ya kusaidia sekta binafsi ya kilimo iliyoanzishwa mwaka 2000 ili kuchochea uwekezaji na kukuza kilimo cha biashara na sekta zinazohusika. Ilisajiliwa mwaka 2007 kama asasi isiyokuwa ya serikali kwa mujibu wa sheria ya ushirikishaji wadhamini ya mwaka 2002.

DIRA
Kuwa asasi inayoongoza katika utoaji wa huduma za fedha na maendeleo ya biashara katika sekta ya kilimo.

DHAMIRA
PASS TRUST/Asasi ya PASS inawajibika katika utoaji wa huduma za maendeleo ya kilimo cha biashara na fedha kwa wafanyabiashara wajasiriamali wadogo na wa kati kwa kuwaunganisha katika tasisi za fedha.

PASS's Goals
Malengo ya PASS ni kuchochea uwekezaji na kuhimiza ukuaji wa kilimo nchini Tanzania.

HUDUMA ZIPI ZINAZOTOLEWA NA PASS Trust
Huduma zinatotolewa na PASS ni
1. Huduma za maendeleo ya Biashara
2. Huduma za fedha

HUDUMA ZA MAENDELEO YA BIASHARA ZA PASS
PASS inatoa huduma nyingi za maendeleo ya biashara kwa wateja kwa kuchangia gharama. Huduma hizo ni pamoja na;
- Upembuzi yakinifu
- Kuandaa mipango ya biashara
- Kujenga uwezo-mfano katika maeneo maalumu ya kitaalamu. Kuwaunganisha wakulima katika vikundi ambavyo vinaweza kutumika kama vikundi maalumu kwa ajili ya kilimo cha mkataba, kusambaza pembejeo kwamkopo, kufanya mazungumzo ya bei na kutoa ushauri.
- Utafutaji na uunganishaji masoko.

HUDUMA YA FEDHA
PASS itawasaidia watu na makampuni yanayostahili kupata mkopo kwa ajili ya uwekezaji wenye faida kupitia Tathmini ya maandiko ya kuombea mkopo kulingana na masharti ya benki husika na kulionganishwa na benki hizo: CRDB, NMB, EXIM,TIB,FBME,KCBL,BOA,ABC,na AKIBA COMMERCIAL BANK.

Dhamana ya mkopo ambayo inatolewa kwa benki zenye mikataba ya kushirikiana na PASS ili kujazia upungufu wa dhamana ya mteja.

NANI ANAYEWEZA KUOMBA HUDUMA ZA PASS
Mtu binafsi yeyote, Vikundi, Chama au kampuni inaweza kutumia huduma za PASS haswa:
- Wajasiriamali binafsi - ambao ni watu binafsi, vyama au kampuni zinazoshughulika na sekta ya kilimo.
- Wajasiriamali binafsi - ambao wana dira na wanafanya biashara katika hali ya ufanisi na kibiashiara
- Wajasiriamali binafsi - watakaoshirikiana na PASS na Benki washirika na kuwakilisha nyaraka zinazotakiwa na ambao wanaweza kufikia angalau vigezo vya msingi kwa ajili ya ukopaji.

Kipaumbele kitatolewa kwa wateja wenye motekeo makubwa katika mwendelezo wa mnyororo wa thamani wa bidha za kilimo hususani katika mazao ya chakula, biashara na mazao ya kusafirishwa nje ya nchi.

5:14
Mbunge wa Kigoma Vijijini Mh. Vuma Augustine leo amepata fursa ya kutembelea wakulima wa Kasulu wanaopata elimu ya mafunzo ya Ujasiriamali, Mikopo, Fedha,Utunzaji wa Kumbukumbu, Masoko na Uuzajj katika Kilimo Biashara. Mafunzo haya yanetolewa leo na PASS wilayani Kasulu kwa ufadhili wa International Trade Centre (ITC-Geneva). #elimukwanza #kilimobiashara #PASSsafi #kasulusafi #tupoimarakulikomwanzo ‘’PASS tunaboresha Maisha kupitia kilimo biashara’’ PASS Trust ni taasisi inayowasaidia wakulima na wafugaji kupata mitaji katika benki ili waweze kuwekeza katika shughuli zao za kilimo na ufugaji. PASS inafanya kazi na benki zifuatazo TADB, CRDB, NMB, Bank of Africa (BOA), ACCESS Bank, Post Bank, Equity Bank,Vision Fund Micro-finance Bank, Mkombozi Commercial Bank,Kilimanjaro Co-operative Bank,Bank ABC,Bank M, AMANA Bank, AKIBA Commercial Bank na TIB. Huduma za PASS ni kama vile:- 1. Kufanya upembuzi yakinifu wa miradi ya kilimo na ufugaji 2. Kuandaa michanganuo ya biashara na kukuunganisha na benki 3. Kukuongezea dhamana ili benki ikupe mikopo Maeneo ambayo PASS inasaidia katika mnyororo wa kilimo ni:- • Wakulima wa mazao mashambani ya chakula na biashara • Wasindikaji • Wauzaji wa mazao ya chakula • Wakulima wa matunda na mbogamboga • Ujenzi wa maghala • Mashine na zana za kilimo • Malori ya kusafirisha mazao • Wafugaji wa:-  Kuku  Ng’ombe  Nguruwe  Ufugaji wa samaki kwenye mabwawa  Nyuki  n.k MAWASILIANO Mobile 0655772698 (Jumatatu hadi Ijumaa) Makao Makuu Dar Es Salaam Jengo la patel ghorofa ya 3 mtaa wa kisutu Simu: 022 2110394/5 Morogoro (ofisi ya kanda ya mashariki) Jengo la National Audit, ghorofa ya pili, Mtaa wa katope karibu na bwalo la JKT umwema Simu: 023 2613371/2613371/2613372 Mbeya (ofisi ya nyanda za juu kusini) Karume Avenue NHIF Tower, Mezzanine Floor Simu: 025 2500218 Kigoma Mtaa wa Lake Tanganyika Jengo la NSSF Mafao, Ghorofa ya pili Simu: 028 2802710 Mwanza (ofisi ya kanda ya ziwa) Jengo la NSSF, ghorofa ya kwanza, wing B Barabara ya Kenyatta Simu: 028 2505036 Arusha NSSF Building - Kaloleni, 1st Floor Arusha - Tanzania Tell: 027 2520012 Mtwara (ofisi ya kanda ya kusini) Vigaeni Street, 1st floor PPF Plaza. Simu 023 2334625.
4 months ago
1:37
Kwa siku mbili mfululizo kuanzia leo, PASS tupo Kibondo mkoani Kigoma kutoa mafunzo ya ujasiriamali, mikopo, fedha, utunzaji wa kumbukumbu, masoko na uuzaji katika kilimo biashara. Mafunzo haya yamefadhiliwa na International Trade Center (ITC). #mafunzomuhimunaadimu #tupokikazizaidi #PASSipokwaajiliyako #kilimobiashara #kuboreuborashamaisha ‘’PASS tunaboresha Maisha kupitia kilimo biashara’’ PASS Trust ni taasisi inayowasaidia wakulima na wafugaji kupata mitaji katika benki ili waweze kuwekeza katika shughuli zao za kilimo na ufugaji. PASS inafanya kazi na benki zifuatazo TADB, CRDB, NMB, Bank of Africa (BOA), ACCESS Bank, Post Bank, Equity Bank,Vision Fund Micro-finance Bank, Mkombozi Commercial Bank,Kilimanjaro Co-operative Bank,Bank ABC,Bank M, AMANA Bank, AKIBA Commercial Bank na TIB. Huduma za PASS ni kama vile:- 1. Kufanya upembuzi yakinifu wa miradi ya kilimo na ufugaji 2. Kuandaa michanganuo ya biashara na kukuunganisha na benki 3. Kukuongezea dhamana ili benki ikupe mikopo Maeneo ambayo PASS inasaidia katika mnyororo wa kilimo ni:- • Wakulima wa mazao mashambani ya chakula na biashara • Wasindikaji • Wauzaji wa mazao ya chakula • Wakulima wa matunda na mbogamboga • Ujenzi wa maghala • Mashine na zana za kilimo • Malori ya kusafirisha mazao • Wafugaji wa:-  Kuku  Ng’ombe  Nguruwe  Ufugaji wa samaki kwenye mabwawa  Nyuki  n.k MAWASILIANO Mobile 0655772698 (Jumatatu hadi Ijumaa) Makao Makuu Dar Es Salaam Jengo la patel ghorofa ya 3 mtaa wa kisutu Simu: 022 2110394/5 Morogoro (ofisi ya kanda ya mashariki) Jengo la National Audit, ghorofa ya pili, Mtaa wa katope karibu na bwalo la JKT umwema Simu: 023 2613371/2613371/2613372 Mbeya (ofisi ya nyanda za juu kusini) Karume Avenue NHIF Tower, Mezzanine Floor Simu: 025 2500218 Kigoma Mtaa wa Lake Tanganyika Jengo la NSSF Mafao, Ghorofa ya pili Simu: 028 2802710 Mwanza (ofisi ya kanda ya ziwa) Jengo la NSSF, ghorofa ya kwanza, wing B Barabara ya Kenyatta Simu: 028 2505036 Arusha NSSF Building - Kaloleni, 1st Floor Arusha - Tanzania Tell: 027 2520012 Mtwara (ofisi ya kanda ya kusini) Vigaeni Street, 1st floor PPF Plaza. Simu 023 2334625.
4 months ago
2:34
PASS Trust ni taasisi inayowasaidia wakulima na wafugaji kupata mitaji katika benki ili waweze kuwekeza katika shughuli zao za kilimo na ufugaji. PASS inafanya kazi na benki zifwatazo TADB, CRDB, NMB, Bank of Africa (BOA), TIB, EXIM, AMANA Bank na AKIBA Commercial Bank. Huduma za PASS ni kama vile:- 1. Kufanya upembuzi yakinifu wa miradi ya kilimo na ufugaji 2. Kuandaa michanganuo ya biashara na kukuunganisha na benki 3. Kukuongezea dhamana ili benki ikupe mikopo Maeneo ambayo PASS inasaidia katika mnyororo wa kilimo ni:- • Wakulima wa mazao mashambani ya chakula na biashara • Wasindikaji • Wauzaji wa mazao ya chakula • Wakulima wa matunda na mbogamboga • Ujenzi wa maghala • Mashine na zana za kilimo • Malori ya kusafirisha mazao • Wafugaji wa:-  Kuku  Ng’ombe  Nguruwe  Ufugaji wa samaki kwenye mabwawa  Nyuki  n.k MAWASILIANO Mobile 0655772698 Makao Makuu Jengo la patel ghorofa ya 3 mtaa wa kisutu Simu: 022 2110394/5 Morogoro (ofisi ya kanda ya mashariki) Jengo la National Audit, ghorofa ya pili, Mtaa wa katope karibu na bwalo la JKT umwema Simu: 023 2613371/2613371/2613372 Mbeya (ofisi ya nyanda za juu kusini) Jengo la NBC, ghorofa ya kwanza Simu: 025 2500218 Kigoma Jengo la NSSF Mafao, mtaa wa mnarani Simu: 028 2802710 Mwanza (ofisi ya kanda ya ziwa) Jengo la NSSF, ghorofa ya kwanza, wing B Barabara ya Kenyatta Simu: 028 2505036 Arusha NSSF Building - Kaloleni, 1st Floor Arusha - Tanzania Tell: 027 2520012 Mtwara (ofisi ya kanda ya kusini) Vigaeni Street, 1st floor PPF Plaza. Simu 023 2334625
1 year ago